Isaya 9:17 BHN

17 Kwa hiyo, Mwenyezi-Mungu hawahurumii vijana wao,hana huruma juu ya yatima na wajane wao;kwani hakuna hata mmoja amchaye Mungu,kila mtu husema uongo.Hata hivyo, hasira yake haijatulia,bado ameunyosha mkono wake.

Kusoma sura kamili Isaya 9

Mtazamo Isaya 9:17 katika mazingira