Isaya 9:21 BHN

21 Manase dhidi ya Efraimu,Efraimu dhidi ya Manasena wote wawili dhidi ya Yuda.Hata hivyo, hasira ya Mwenyezi-Mungu haijatulia,bado ameunyosha mkono wake.

Kusoma sura kamili Isaya 9

Mtazamo Isaya 9:21 katika mazingira