Isaya 9:3 BHN

3 Wewe, ee Mungu, umelikuza taifa,umeiongeza furaha yake.Watu wanafurahi mbele yako,wana furaha kama wakati wa mavuno,kama wafurahivyo wanaogawana nyara.

Kusoma sura kamili Isaya 9

Mtazamo Isaya 9:3 katika mazingira