Isaya 1:15 BHN

15 “Mnapoinua mikono yenu kuombanitauficha uso wangu nisiwaone.Hata mkiomba kwa wingi sitawasikia,maana mikono yenu imejaa damu.

Kusoma sura kamili Isaya 1

Mtazamo Isaya 1:15 katika mazingira