Isaya 1:4 BHN

4 Ole wako wewe taifa lenye dhambi,watu waliolemewa na uovu,wazawa wa wenye kutenda maovu,watu waishio kwa udanganyifu!Nyinyi mmemwacha Mwenyezi-Mungu,mmemdharau Mtakatifu wa Israeli,mmefarakana naye na kurudi nyuma.

Kusoma sura kamili Isaya 1

Mtazamo Isaya 1:4 katika mazingira