Isaya 1:5 BHN

5 Kwa nini huachi uasi wako?Mbona wataka kuadhibiwa bado?Kichwa chote ni majeraha matupu,na moyo wote unaugua!

Kusoma sura kamili Isaya 1

Mtazamo Isaya 1:5 katika mazingira