Isaya 1:6 BHN

6 Toka wayo hadi kichwa hamna penye nafuu,umejaa majeraha na vidonda vitoavyo damu,navyo havikuoshwa, kufungwa wala kutiwa mafuta.

Kusoma sura kamili Isaya 1

Mtazamo Isaya 1:6 katika mazingira