Isaya 1:7 BHN

7 Nchi yenu imeharibiwa kabisa;miji yenu imeteketezwa kwa moto.Wageni wananyakua nchi yenu mkiona kwa macho,imeharibiwa kama uharibifu wa Sodoma.

Kusoma sura kamili Isaya 1

Mtazamo Isaya 1:7 katika mazingira