Isaya 1:9 BHN

9 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asingalituachia wachache,tungalikwisha kuwa kama watu wa Sodoma,tungalikuwa hali ileile ya Gomora.

Kusoma sura kamili Isaya 1

Mtazamo Isaya 1:9 katika mazingira