12 Naye atatweka bendera kuwaashiria mataifa,kuwakusanya Waisraeli waliodharauliwa,kuwaleta pamoja watu wa Yuda waliotawanywa,na kuwarudisha toka pembe nne za dunia.
Kusoma sura kamili Isaya 11
Mtazamo Isaya 11:12 katika mazingira