Isaya 11:14 BHN

14 Wote pamoja watawavamia Wafilisti walio magharibi,pamoja watawapora watu wakaao mashariki.Watawashinda Waedomu na Wamoabu,nao Waamoni watawatii.

Kusoma sura kamili Isaya 11

Mtazamo Isaya 11:14 katika mazingira