15 Mwenyezi-Mungu atakausha ghuba ya bahari ya Shamu,kwa pumzi yake ichomayo atakausha mto Eufrate,nao utagawanyika katika vijito saba,watu wavuke humo miguu mikavu.
Kusoma sura kamili Isaya 11
Mtazamo Isaya 11:15 katika mazingira