Isaya 11:16 BHN

16 Tena, kutakuwa na barabara kuu toka Ashurukwa ajili ya watu wake waliobaki humokama ilivyokuwa kwa Waisraeliwakati walipotoka nchini Misri.

Kusoma sura kamili Isaya 11

Mtazamo Isaya 11:16 katika mazingira