Isaya 12:1 BHN

1 Siku hiyo mtasema:“Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu,maana ingawa ulinikasirikia,hasira yako imetulia,nawe umenifariji.

Kusoma sura kamili Isaya 12

Mtazamo Isaya 12:1 katika mazingira