11 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Nitauadhibu ulimwengu kwa uovu wake,waovu kwa sababu ya makosa yao.Nitakikomesha kiburi cha wenye majivuno,na kuporomosha ubaradhuli wa watu katili.
Kusoma sura kamili Isaya 13
Mtazamo Isaya 13:11 katika mazingira