Isaya 13:10 BHN

10 Nyota na vilimia vyake angani hazitaangaza;jua linapochomoza litakuwa giza,na mwezi hautatoa mwanga wake.

Kusoma sura kamili Isaya 13

Mtazamo Isaya 13:10 katika mazingira