Isaya 13:9 BHN

9 Siku ya Mwenyezi-Mungu inakuja,siku kali, ya ghadhabu na hasira kali.Itaifanya nchi kuwa uharibifu,itawaangamiza wenye dhambi wake.

Kusoma sura kamili Isaya 13

Mtazamo Isaya 13:9 katika mazingira