Isaya 13:8 BHN

8 Watu watafadhaika,watashikwa na hofu na maumivu,watakuwa na uchungu kama mama anayejifungua.Watatazamana kwa mashaka,nyuso zao zitawaiva kwa haya.

Kusoma sura kamili Isaya 13

Mtazamo Isaya 13:8 katika mazingira