20 Kamwe hautakaliwa tena na watu,watu hawataishi humo katika vizazi vyote.Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake humo,wala mchungaji atakayechunga wanyama wake humo.
Kusoma sura kamili Isaya 13
Mtazamo Isaya 13:20 katika mazingira