Isaya 13:21 BHN

21 Badala yake watakuwamo wanyama wakali wa porini,bundi watajaa katika nyumba zake.Mbuni wataishi humo,na majini yatachezea humo.

Kusoma sura kamili Isaya 13

Mtazamo Isaya 13:21 katika mazingira