22 Mbwamwitu watalia ndani ya ngome zake,mbweha wataonekana ndani ya nyumba zao za anasa.Wakati wa Babuloni umekaribia,wala siku zake hazitaongezwa.”
Kusoma sura kamili Isaya 13
Mtazamo Isaya 13:22 katika mazingira