Isaya 14:12 BHN

12 “Jinsi gani ulivyoporomoshwa toka mbinguni,wewe uliyekuwa nyota angavu ya alfajiri.Jinsi gani ulivyoangushwa chini,wewe uliyeyashinda mataifa!

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:12 katika mazingira