Isaya 14:13 BHN

13 Wewe ulijisemea moyoni mwako:‘Nitapanda mpaka mbinguni;nitaweka kiti changu juu ya nyota za Mungu,nitaketi juu ya mlima wakutanapo miungu,huko mbali pande za kaskazini.

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:13 katika mazingira