Isaya 14:19 BHN

19 Lakini wewe umetupwa nje ya kaburi lako;kama mtoto wa kuchukiza aliyezaliwa mfumaiti yako imekanyagwakanyagwa,umerundikiwa maiti za waliouawa kwa upanga,waliotupwa mashimoni penye mawe.

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:19 katika mazingira