Isaya 14:20 BHN

20 Lakini wewe hutaunganishwa nao katika mazishi,maana uliiharibu nchi yako,wewe uliwaua watu wako.Wazawa wa waovu na wasahaulike kabisa!

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:20 katika mazingira