30 Wazaliwa wa kwanza wa maskini watashiba,na fukara watakaa kwa usalama.Lakini chipukizi wenu nitawaua kwa njaa;na yeyote wenu atakayebaki nitamuua.
Kusoma sura kamili Isaya 14
Mtazamo Isaya 14:30 katika mazingira