Isaya 14:31 BHN

31 Piga yowe ewe lango; lia ewe mji;yeyuka kwa hofu ewe nchi yote ya Filistia.Maana moshi wa askari waja kutoka kaskazini,wala hakuna atakayechelewa katika majeshi yake.”

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:31 katika mazingira