32 Basi watapewa jibu gani wajumbe wa taifa hilo?Wataambiwa: Mwenyezi-Mungu ameijenga imara Siyoni,na maskini wa watu wake watakimbilia usalama huko.
Kusoma sura kamili Isaya 14
Mtazamo Isaya 14:32 katika mazingira