Isaya 15:1 BHN

1 Kauli ya Mungu dhidi ya nchi ya Moabu.Mji wa Ari nchini Moabu umeangamizwa usiku;mji wa Kiri nchini Moabu umeteketezwa usiku.

Kusoma sura kamili Isaya 15

Mtazamo Isaya 15:1 katika mazingira