Isaya 14:8 BHN

8 Misonobari inafurahia kuanguka kwako,nayo mierezi ya Lebanoni pamoja yasema:‘Kwa vile sasa umeangushwa,hakuna mkata miti atakayekuja dhidi yetu!’

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:8 katika mazingira