Isaya 14:9 BHN

9 “Kuzimu nako kumechangamka,ili kukulaki wakati utakapokuja.Kunaiamsha mizimu ije kukusalimuna wote waliokuwa wakuu wa dunia;huwaamsha kutoka viti vyao vya enziwote waliokuwa wafalme wa mataifa.

Kusoma sura kamili Isaya 14

Mtazamo Isaya 14:9 katika mazingira