Isaya 16:3 BHN

3 Wamoabu wanawaambia watu wa Yuda,“Tupeni mwongozo, tuamulieni.Enezeni ulinzi wenu juu yetu,kama vile usiku uenezavyo kivuli chake.Tuficheni sisi wakimbizi;msitusaliti sisi tuliofukuzwa.

Kusoma sura kamili Isaya 16

Mtazamo Isaya 16:3 katika mazingira