Isaya 16:4 BHN

4 Wakimbizi wa Moabu waishi kwenu,muwe kimbilio lao mbali na mwangamizi.”Mdhalimu atakapokuwa ametoweka,udhalimu utakapokuwa umekoma,na wavamizi kutoweka nchini,

Kusoma sura kamili Isaya 16

Mtazamo Isaya 16:4 katika mazingira