Isaya 16:5 BHN

5 utawala adili utazinduliwa katika maskani ya Daudi,mtawala apendaye kutenda haki,na mwepesi wa kufanya yaliyo sawa;atatawala humo kwa uaminifu.

Kusoma sura kamili Isaya 16

Mtazamo Isaya 16:5 katika mazingira