Isaya 16:6 BHN

6 Watu wa Yuda wanasema hivi:“Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu,tunajua jinsi alivyojivuna mno;tumesikia juu ya majivuno, kiburi na ufidhuli wake;lakini majivuno yake hayo ni bure.”

Kusoma sura kamili Isaya 16

Mtazamo Isaya 16:6 katika mazingira