Isaya 17:10 BHN

10 Maana wewe Israeli umemsahau Mungu aliyekuokoa,hukumkumbuka Mwamba wa usalama wako.Kwa hiyo, hata mkipanda mimea ya Baali,na kuiweka wakfu kwa mungu wa kigeni;

Kusoma sura kamili Isaya 17

Mtazamo Isaya 17:10 katika mazingira