9 Siku hiyo miji yao imara itaachwa mahame, kama miji ambayo Wahivi na Waamori waliihama walipokuwa wakiwakimbia wazawa wa Israeli. Kila kitu kitakuwa uharibifu.
Kusoma sura kamili Isaya 17
Mtazamo Isaya 17:9 katika mazingira