Isaya 18:2 BHN

2 Inatuma wajumbe ambao wanasafiri mtoni Nili,wamepanda mashua za mafunjo.Nendeni, enyi wajumbe wepesi,kwa taifa kubwa na hodari,la watu warefu na wa ngozi laini.Watu hao wanaoogopwa kila mahalina nchi yao imegawanywa na mito.

Kusoma sura kamili Isaya 18

Mtazamo Isaya 18:2 katika mazingira