3 Enyi wakazi wote ulimwenguni,nanyi mkaao duniani!Ishara itakapotolewa mlimani, tazameni!Tarumbeta itakapopigwa, sikilizeni.
Kusoma sura kamili Isaya 18
Mtazamo Isaya 18:3 katika mazingira