Isaya 18:4 BHN

4 Maana, Mwenyezi-Mungu ameniambia hivi:“Toka makao yangu juu nitatazama yanayotukia,nimetulia kama joto katika mwanga wa jua,kama wingu la umande wakati wa mavuno.

Kusoma sura kamili Isaya 18

Mtazamo Isaya 18:4 katika mazingira