Isaya 18:5 BHN

5 Maana, kabla ya mavuno,wakati wa kuchanua umekwisha,maua yamepukutika na kuwa zabibu mbivu,Mungu atakata chipukizi kwa kisu cha kupogolea,na kuyakwanyua matawi yanayotanda.

Kusoma sura kamili Isaya 18

Mtazamo Isaya 18:5 katika mazingira