Isaya 18:6 BHN

6 Yote yataachiwa ndege milimani,na wanyama wengine wa porini.Ndege walao nyama watakaa humowakati wa majira ya kiangazi,na wanyama wa porini watafanya makao humowakati wa majira ya baridi.”

Kusoma sura kamili Isaya 18

Mtazamo Isaya 18:6 katika mazingira