Isaya 19:11 BHN

11 Viongozi wa mji wa Soani ni wapumbavu kabisa,washauri wa Farao wanatoa shauri la kijinga!Awezaje kila mmoja kumwambia Farao,“Mimi ni mzawa wa mtaalamu stadi;mzawa wa wafalme wa hapo kale!”

Kusoma sura kamili Isaya 19

Mtazamo Isaya 19:11 katika mazingira