Isaya 19:12 BHN

12 Wako wapi, ewe Farao, wataalamu wako?Waache basi wakuambie na kukujulishaaliyopanga Mwenyezi-Mungu wa majeshi dhidi ya Misri!

Kusoma sura kamili Isaya 19

Mtazamo Isaya 19:12 katika mazingira