19 Siku hiyo, kutakuwa na madhabahu kwa ajili ya Mwenyezi-Mungu katikati ya nchi ya Misri, na nguzo iliyowekwa wakfu kwa Mungu kwenye mpaka wa Misri.
Kusoma sura kamili Isaya 19
Mtazamo Isaya 19:19 katika mazingira