Isaya 19:20 BHN

20 Madhabahu hiyo itakuwa ishara na ushuhuda kwake Mwenyezi-Mungu wa majeshi katika nchi ya Misri. Watu wakimlilia Mwenyezi-Mungu humo kwa sababu ya kukandamizwa, yeye atawapelekea mkombozi atakayewatetea na kuwakomboa.

Kusoma sura kamili Isaya 19

Mtazamo Isaya 19:20 katika mazingira