Isaya 19:21 BHN

21 Mwenyezi-Mungu atajijulisha kwa Wamisri na hapo ndipo Wamisri watakapomkiri na kumwabudu kwa kumtolea tambiko na sadaka za kuteketezwa. Hali kadhalika, watamwekea Mwenyezi-Mungu nadhiri ambazo watazitimiza.

Kusoma sura kamili Isaya 19

Mtazamo Isaya 19:21 katika mazingira