Isaya 2:6 BHN

6 Sasa, ee Mungu, umewatupa watu wako, wazawa wa Yakobo.Maana kweli wachawi wa mashariki wamejaa kati yao,wapo na wapiga ramli kama kwa Wafilisti.Wanashirikiana na watu wageni.

Kusoma sura kamili Isaya 2

Mtazamo Isaya 2:6 katika mazingira