Isaya 20:4 BHN

4 Basi, mfalme wa Ashuru atawachukua mateka Wamisri na Wakushi, wakubwa kwa wadogo. Watachukuliwa, nao watatembea uchi na bila viatu; matako wazi, kwa aibu ya Misri.

Kusoma sura kamili Isaya 20

Mtazamo Isaya 20:4 katika mazingira