Isaya 20:3 BHN

3 Basi, mnamo mwaka huo mji wa Ashdodi ulipotekwa, Mwenyezi-Mungu alisema: “Mtumishi wangu Isaya amekuwa akitembea uchi na bila viatu kwa muda wa miaka mitatu sasa, kama ishara na alama dhidi ya nchi ya Misri na Kushi.

Kusoma sura kamili Isaya 20

Mtazamo Isaya 20:3 katika mazingira